Big Fizzo - Baridi Lyrics
Baridi
Oh baby why
Why uko mbali na mi
Why you don’t pick up my phone
Ooh my baby
Oh baby why , why tell me why
Ao umepata mwingine , hmmm
Ooh baby
Penzi nalikoleza
Wewe unalichombeza , na unaona sawa
Tamu nakupeleka
Bidu bidu mchuzi wa pweza
Ao labda una tamaa
Baridi baridi
Oh mi nasema baridi, baridi
Mapenzi ya ugaidi ,gaidi
No no no no non
Mbona baridi ,baridi
Mapenzi ya ugaidi, gaidi
Wenzangu wanafaidi .faidi
Mon bébé ne me fais pas comme ça
Nishalewa
kwa penzi lako japo kama kichomi
Mi Nishalewaga
Labda nahisi mi niwako hadi mbele sioni
Nishalewa
Baby nishakula kiapo na bado sikuoni
Mi nishalewaga
Oh na na na na
Right now nifanyeje , mi nifanyeje x2
Kama guitar nitapiga zaidi ya Santana ah
Hiyo vita kwa baridi nitapambana
Umenifanya kwako nisitokee
Ukanitoaga na mawenge
Ili mradi tu huruma baby, my baby
You take my mind faraway , far , faraway
Penzi tamu, sweet chocolate yeah
Hey
Baridi, baridi
Oh mi nasema baridi, baridi
Mapenzi ya ugaidi ,gaidi
No no no
Mbona baridi, baridi
Mapenzi ya ugaidi ,gaidi
Wenzangu wanafaidi, faidi
Mon bébé ne me fais pas comme ça
Nishalewa
kwa penzi lako japo kama kichomi
Mi Nishalewaga
Labda nahisi mi niwako hadi mbele sioni
Nishalewa
Baby nishakula kiapo na bado sikuoni
Mi nishalewaga
Oh na na na na
Right now nifanyeje , mi nifanyeje x2
No comments:
Post a Comment